
Dr Ipyana- Mlima Sayuni / Milima yayeyuka/ official Video
#drIpyana #MLIMASAYUNI #milimayayeyuka For booking/prayers call +255712177580 Get connected Instagram https://www.instagram.com/tv/CaY2dmHFGcZ/?utm_medium=copy_link LYRICS •• Unamiliki anga, jua mwezi na nyota, You Hold the firmament, sun, moon and stars Mkono Wako Umevifanya, Your Hand Has Created them, Pumzi Yako Imevifanya, Your Breathe has made them. Tumekuja mlima SAYUNI, Weve come to Mount ZION, Kukusifu, Kukuabudu, To Praise You, to Worship You Maserafi Makerubi, The cherubim, the seraphim twaungana nao. We unite with them. Verse 2: Unatunza maagano, You Keep Your Covenants Huna mwanzo, Huna mwisho, You know no end nor beginning, Neno Lako ni Hakika, Your Word is Sure, wala Halina ukomo. It is limitless. Tumekuja mlima SAYUNI, Weve come to Mount ZION, Kukusifu, Kukuabudu, To Praise You, to Worship You Maserafi Makerubi, The cherubim, the seraphim twaungana nao. We unite with them. Chorus: All (Milima yayeyuka mbele Zako, The mountains evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Bridge all: (Nani kama Wewe Bwana, Who is like You LORD? Nani kama Wewe) Who is like You? All: milima yayeyuka, Mbele Zako, Mountains evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? magonjwa yayeyuka, mbele Zako, Sicknesses evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu. Who is like You, our GOD? Holy Music: All: (Milima yayeyuka mbele Zako, Mountains evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Nani kama Wewe Bwana, Who is like You LORD? Nani kama Wewe) Who is like You? All: madeni yayeyuka mbele Zako, Debts evaporate before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Kansa yayeyuka mbele Zako, Cancer evaporates before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? kisukari chayeyuka mbele Zako, Diabetes evaporates before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Ukimwi wayeyuka Mbele Zako, AIDs evaporates before You, Nani kama Wewe MUNGU wetu) Who is like You, our GOD? Holy music: Outro: Who is like You LORD? Nani kama Wewe) Who is like You?
Mlima Sayuni, milima yayeyuka, dr ipyana Mlima Sayuni, dr ipyanas songs, dr ipyana ubhaghile, dr ipyana wanishangaza, dr ipyana milele na milele, dr ipyana moyo wangu, dr ipyana hata Hili litapita, dr ipyana kama si MKONO WAKO, dr ipyana UMEKETI, dr ipyana, ipyana kibona, ipyana, nani kama WEWE, BWANA, Tumekuja MLIMA SAYUNI, Unamiliki anga, Jua mwezi, na nyota, Haleluya, dr ipyana na Ambwene