Zaituni - Tamu (Official Music Video)

Zaituni - Tamu (Official Music Video)

The Official Music Video for Tamu off of my debut EP Labor Of Love Stream Labor Of Love EP: https://fanlink.tv/laboroflove Audio Credits: Performed by: Zaituni Written by: Steve Anariko & Zaituni Wambui Produced by: Anariko Bass & Guitars by: Anariko Percussions by: Eric Mwangangi Mixed and Mastered by: Chris Adwar Video Credits: Directors: Wesley Omondi, Steven Obudo Director of Photography: Wesley Omondi Camera Operator: Renson Mwakandana Filmed at: The Living Rooms Executive Producer: Edna Sangaka © 2025 Zaituni Music Connect with Zaituni: Instagram: https://www.instagram.com/iam_zaituni Twitter/X: https://x.com/iam_zaituni TikTok: https://www.tiktok.com/@iam_zaituni Music & more: https://linktr.ee/zaituni_ Lyrics: Nimependwa nikapendeka Wanasema nimerogwa Sina noma (ananifaa) Ananifaa mimi, ananifaa mimi Ananipea mahaba kwa wingi Hanipimii ananipea yote (yote) Kashaamua kunipenda misimu yote (iyee) Naamini ashapata ubavu wake Na ni mimi hapa habanduki Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam tam tam sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Ninamjua ananijua Ananielewa zaidi ananijua Na nikinuna ananituliza Ananibembeleza roho inatulia Ananiamini, ninamuamini Hatuna siri twaendana, shilingi kwa ya pili Na sio siri Sio siri Kupendwa raha Kwanza nawe kupendwa tatatatam Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi tamu Tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana ni tamu tena sana Inadonjo inadonjo tu vibaya Amini usiamini Niliapa sitawahi penda mwingine Ona sasa Nikiwa na yeye haunipati na nikiwa na yeye haumpati Na nikiwa na yeye its a party Nikiwa na yeye hakutaki Na nikiwa na yeye sikutaki eeh Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Tamu sana mapenzi Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu) Ni tamu Ni tamu Ni tamu Ni tamu Tena sana Ni tamu Ni tamu Ni tamu Ni tamu Tena sana #zaituni #tamu #laboroflove